Bajeti kwaajili ya Saga

Kabla ya kuanza

Spider Plant

Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya saga.

Unapopanda msimu wa mvua, unaweza kutarajia kuvuna kilo 160 kwa mavuno ya robo ekari ya Sag. Kuvuna kutaendelea kwa takribani miezi 4. Baada ya miezi 3 hadi 6 ya kuvuna Saga, ni wazo zuri kuacha shamba bila mimea kwa takribani miezi 2 kabla ya kuandaa tena kwaajili ya mazao yanayofuata.

Anzisha bajeti yako

external-assistant-professions-woman-diversity-flaticons-lineal-color-flat-icons-2

Chat Support

Hello . My name is Jane, your chat assistant!

Welcome to the chat ! How can I help you today?

Login or Sign up to chat with us.