Bajeti kwaajili ya Kuku wa kisasa
Kabla ya kuanza
Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya kuku wa kisasa.
Kama mfugaji, mwenye soko zuri,unaweza kuuza kuku wa nyama kwa bei zaidi ya Ksh 950 na unaweza kupata faida zaidi.
Anzisha bajeti yako